KAMATI YA BUNGE IMEPONGEZA WIZARA YA ELIMU NA NECTA KUSAHIHISHA MITIHANI YA TAIFA KIELEKTRONIKI

Na WyEST, DAR ES SALAAM. Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imepongeza Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwa kuwa na mfumo wa kielektroniki wa usahihishaji mitihani ambao umerahisisha zoezi la usahihishaji mitihani ya Taifa. Pongezi hizo zimetolewa Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.